Monday, April 4, 2011

Master P na Gucci mane wanakuja na movie inaitwa "GET MONEY"



Master P is Back again….!! ila sasa hivi karudi kitofauti.., Ni kupitia movie yake mpya ambayo yupo na mtu mzima Gucci mane..! Hiyo movie inaitwa “Get Money” …, Humo ndani Master P anaitwa “Monster” na Gucci mane anaitwa “Big G”…Kwenye movie jamaa wanahustler mwanzo mwisho., mwisho wa siku jamaa wanapiga dili la bilioni mia za kibongo na kubadilisha maisha yao..

No comments:

Post a Comment